Breaking News

Your Ad Spot

Jan 25, 2010

USAJILI NAMBA ZA SIMU WADODA!


Banda la tiGo

Banda la Zain

Banda la Zantel
HAYA ni mabanda mahsusi kwa ajili ya kusajili namba za simu za mikononi ya kampuni za TiGo, Zain na Zantel ambayo mwana-Blog wetu aliyakuta 'makavu' katika kituo cha daladala cha Akiba, jijini Dar es salaam leo, kutokana na kutokuwa na wateja wa kujsajili. Waandishi kwenye mabanda hayo walilalamikia hali hiyo wakidai kwamba huenda wateja wanapenda kusukumana wakati wa kupata huduma ndiyo sababu wanasubiri siku za kusajili zikaribie kwisha.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages