Breaking News

Your Ad Spot

Feb 1, 2010

BEYONCE AVUNJA REKODI TUZO ZA GRAMMY

Beyonce Knowles on the red carpet.

Tuzo maarufu za muziki za Grammy Awards zimemalizika muda mfupi uliopita jijini Los Angeles.Kama kawaida ya tuzo maarufu kama hizo,huwa kuna kuvunjwa kwa rekodi au kuwekwa rekodi mpya,vituko mbalimbali, mavazi ya kukumbukwa na pia performances za kukumbukwa.
      Kwa mwaka huu,rekodi mpya imewekwa na Beyonce Knowles.Binti huyu ni mke wa rapper maarufu ulimwenguni,Jay-Z ameibuka na jumla ya tuzo sita na hivyo kuweka rekodi ya kuwa mwanamuziki wa kike wa kwanza kushinda idadi hiyo ya tuzo katika usiku mmoja wa tuzo za Grammy!
                                  Tuzo ziligawanyika katika kategori zifuatazo;
-Record of the Year – Kings of Leon – “Use Somebody”
Album of the Year – Taylor Swift – ‘Fearless’
-Song of the Year – Beyonce – “Single Ladies (Put a Ring On It)”
-Best New Artist – Zac Brown Band
-Best Female Pop Vocal – Beyonce – “Halo”
-Best Male Pop Vocal – Jason Mraz – “Make It Mine”
-Best Duo or Group With Vocals – Black Eyed Peas – “I Gotta Feeling”
-Best Pop Vocal Album – Black Eyed Peas – ‘
The E.N.D.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages