.

MAN UNITED YANYUKWA 2-1 NA CHELSEA

Apr 3, 2010

MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Chelsea, Didier Drogba (kushoto) akipiga shuti kufunga goli la pili, huku mlinzi wa Manchester United, Nemanja Vidic akihangaika bila mafanikio kumzuia, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza, kwenye uwanja wa Old Trafford, mjini Manchester, leo. Man imechapwa mabao. 2-1

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช