Breaking News

Your Ad Spot

May 4, 2010

DkSHEIN AFUNGUA MKUTANO WA KUBORESHA JIJI LA DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, akifunguwa mkutano wa siku moja juu ya uendelezaji na uimarishaji wa jiji la Dar es salaam ambapo Jumla ya mada kuu mbili kuhusu mkakati wa maendeleo ya la Dar es salaam zimewasilishwa kwenye mkutano huo uliowashirikisha Wajumbe kutoka katika Sekta mbalimbali hapa Nchini na Nje ya Nchi. Wa pili kulia Meya wa jiji la Dar es salaam Mhe. Adam Kimbisa
Wajumbe wa mkutano wa siku moja juu wa uendelezaji na uimarishaji wa jiji la Dar es salaam kutoka katika Sekta mbalimbali hapa Nchini na Nje ya Nchi, wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akiwahutubia kwenye ufunguzi wa mkutano huo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo. Picha na Amour Nassor VPO


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages