Breaking News

Your Ad Spot

May 4, 2010

PINDA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU WA NGOZI

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, akizungumza na Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Walemavu wa Ngozi Tanzania (Albino), yaliyofanyika leo, viwanja vya Garden, mjini Iringa. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama Albino Tanzania, Ernest Kimaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages