Breaking News

Your Ad Spot

Jul 5, 2010

MAANDALIZI REDD'S MISS TEMEKE 2010 YAIVA: KUTIMUA VUMBI KESHO TCC CLUB

Wanyange wanaowania taji la Redd's Miss Temeke 2010 wakiwa katika picha ya pamoja jana ikiwa katika moja ya maandalizi ya mashindano hayo yatakayofanyika July 6 kwenye klabu ya TCC Chang'ombe siku ambayo hakutakuwa na mchezo wowote wa fainali za kombe la Dunia. (Picha kwa hisani ya BMP Promotions)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages