Breaking News

Your Ad Spot

Jul 3, 2010

SHYROSE ANG'ARA NA VIKOBA KATA AYA MWANANYAMALA

KADA wa CCM, Shyrose Bhanji akikabidhi mkopo wa sh. 300,000 ka Betha Manga katika hafla iliyoambana na uzinduzi wa Vicoba Kata ya Mwananyamala, jana katika ukumbi wa Vijana, Kinondoni, Dar es Salaam leo Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa Asasi ya Utawala Bora, Wallace Mayunga. 
Shyrose akizungumza katika hafla hiyo
WANACHAMA wa Vicoba kata ya Mwaananyamala, wakiwa katika uzinduzi wa chama hicho, leo katika ukumbi wa Vijana, Kinondoni, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages