Breaking News

Your Ad Spot

Jul 3, 2010

UJERUMANI YAIKWANYUA 4-0 ARGENTINA

WACHEZAJI wa timu ya Ujerumani wakishangilia baada ya kupachika kimiani bao la nne langoni mwa timu ya Argentina leo
Kocha Mkuu wa timu ya Argentina Diego Maradona akiwa ameduwaa baada ya timu yake kudundwa. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages