Breaking News

Your Ad Spot

Sep 1, 2010

KAUNDA ATAKA KUTANGULIZWA MUNGU KWA KILA JAMBO, KUJENGA MSHIKAMANO DUNIANI

Rais Mstaafu wa Zambia Dkt Kenneth Kaunda akisisitiza umuhimu wa upendo , amani , mshikamano na kumtanguliza Mungu kwa kila jambo ili kuhakikisha maendeleo ya kweli. Dkt Kaunda alitoa kauli hiyo jana wakati wa Mkutano baina ya waandishi wa habari na Marais wastaafu wa Afrika waliokuwa waemekutana mjini Dar es salaam kujadiliana juu ya maboresho ya sekta za ardhi. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages