Breaking News

Your Ad Spot

Aug 6, 2010

tiGo yazindua rasmi ofisi yake mpya Buguruni leo

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi akizindua ofisi hizo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Pablo Vasquez



Lukuvi akizungumza na Ofisa uhusiano wa tiGo, Jackson Mbando akati wa hafla hiyo
Mteja akipata huduma katika ofisi hizo


Wasanii wakitumbuiza wananchi nje ya ofisi za kampuni hiyo wakati wa hafla hiyo
Jengo la ofisi hilo lililozinduliwa na Lukuvi leo
.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages