WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mukulo, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Josephat Mwambega na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Ahmad Kilima wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya ushauri ya GPSA (waliosimama) baada ya Mkulo kuzindua bodi hiyo leo mjini Dar es Salaam. Wajumbe hao ni Mzee Boma, Eng. Mary Swai, sebastian Ndandala na Dk. Frederick Mwakibinga. Mwingine katika bodi hiyo ni Balozi Charles Mtalemwa ambaye hakuwepo katika uzinduzi huo.(Picha na Chachandu Daily Blog).
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Bodi ya ushauri?? Twaitakia mafanikio mema
ReplyDelete