Breaking News

Your Ad Spot

Sep 20, 2010

DK MASHIMBA KUANGWA KESHO, KUZIKWA KIJIJINI KWAO NGUDU, WIALAYA YA KWIMBA, MWANZA

ROSE Mashimba (watatu kulia), mjane wa aliyekuwa Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk. Ernest Mashimba, akifarijiwa na waombolezaji,  nyumbani kwao, mtaa wa Ursino, Regent Estate, Barabara ya Kawawa, Dar es Salaam, jana. Dk. Mashimba alifariki juzi mkoani Tanga. (Picha na Chachandu Daily).
Dk. Mashimba

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages