Breaking News

Your Ad Spot

Sep 23, 2010

MEJA JENERALI NATEPE AAGWA DAR, KUZIKWA UNGUJA LEO

MAKAMANDA wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba jeneza lenye mwili wa Meja Jenerali, Abdalla Saidi Natepe, baada ya kuagwa kijeshi katika kambi ya Lugalo, Dar es Salaam, leo. Natepe alifariki jana katika hospitali ya jeshi  hilo alikokuwa amelazwa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages