Breaking News

Your Ad Spot

Sep 12, 2010

MISS TEMEKE ATWAA VODACOM MISS TANZANIA 2010,NI GENOVEIVE MPANGALA

Genoveive akipunga mkono baada ya kushinda

Genoveive akibubujikwa chozi wakati akivishwa taji na mrembo aliyemaliza muda wake, Miriam Gerald
MISS Temeke, Genoveive Mpangala akiwa katika gari aina ya Yundai i10,alilozawadiwa baada ya kuvishwa taji la Vodacom Miss Tanzania 2010,katika fainali za shindano la kumsaka mrembo wa taji hilo, lililofanyika usiku wa kuamkia leo, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Genoveive akiwa katika gari lake la Hyundai i10 alilikabidhiwa baada ya ushindi
Genoveive akiwa nje ya hari hilo
WAZIRI wa Nisahati na madini, William Ngeleja na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi wakiwa na wake zao kwenye shindano hilo.
WASHIRIKI wa shindano hilo wakishambulia jukwaa kwa shoo ya muziki
Yesaya Ambwene AY, akitumbuiza
WASANII wa Tanzania House Of Talent wakichangamsha jukwaa
Mheshimiwa Temba na Chege wakishirikiana na mwenzao kushambulia jukwaa
Washiriki waliofanikiwa ktinga kumi bora wakisubiri kuchujwa wapatikane tano bora kati yao
Mrembo akijaribu kuinuka haraka baada ya kunusurika kuanguka wakati wakitembea na wenzake jukwaani, katika vazi la ufukweni.
Mrembo Frola Martin  katika vazi la ufukwemni
Salma Mwakalukwa akapata taji la utalii wa ndani
CONSOLATA Lukosi katika taji la Redd's
MWENYEKITI wa Kamati ya Miss Tanzania, Ramesh Patel (kushoto) akifuatilia akwa makini wakati Kiongozi wa maji, Shah akijumlisha matokeo ya mwisho
MARIA Mpangala akimpongeza mwanae kwa kutwaa taji la Miss Tanzania 2010
MREMBO aliyemaliza muda wake, Miriam gerald akiaga
Mashabiki wakifuatili hatua kwa hatua
VIJANA kutoka Tanzania House of Talent wakifanya vitu vyao

1 comment:

  1. Mmmmh,kazi kwelikweli, hongera na tunakutakia mafanikio mema!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages