Breaking News

Your Ad Spot

Sep 23, 2010

TIGO NA CCBRT WATANGAZA USHIRIKIANO KATIKA KUONGEZA UGUNDUZI WA TATIZO LA MTOTO WA JICHO KWA WATOTO NA PIA KUTOA MAFUNZO KWA WAKUNGA

JUMLA ya watoto 160 watapatiwa upasuaji wa  macho katika klinini maalum ya huduma hiyo zitakazoendeshwa na Shirika lisilo la Kiserikali la CCBRT  kwa siku 11, kuanzia Novemba 8, mwaka huu katika  hospitali ya Sekoutoure mjini Mwanza. Pichani,  Meneja uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya MIC Tanzania Ltd , Jackson Mmbando akimkabidhi Ofisa Uhusiano wa CCBRT Meg Muigai hati ya makubaliano ya kampuni hiyo kutoa sh. milioni 76, kwa ajili ya kufadhili huduma hiyo na mafunzo kwa wakunga leo katika ofisi za  shirika hilo, Msasani,  Dar es Salaam. (Picha na Chachandu Daily).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages