Breaking News

Your Ad Spot

Sep 7, 2010

UBANDIKAJI MABANGO YA WAGOMBEA UNAPOKUWA WA KUGOMBEA MAENEO

Bango la mgombea wa Chadema, Dk willibroad Slaa likiwa limebandikwa juu ya bango la mgombea wa ubunge Kinondoni, Iddi Azzan
BANGO la mgombea urais kwa tiketi ya Chadema Willibroad Slaa lililobanadikwa juu ya bango la mgombea ubunge jimbo la Kinondoni, Idd Azzan likiwa limechanwa, katika kituo cha daladala cha Magomeni, Dar es Salaam. Je, hii inaashiria nini? 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages