Breaking News

Your Ad Spot

Sep 9, 2010

WAAREMBO WA VODACOM MISS TANZANIA WATAKAOCHUANA JUMAMOSI WIKI HII

SHINDANO hilo la kusaka taji la mrembo wa Tanzania ambalo limedhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi Vodacom, litarindima Jumamosi wiki hii, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam., je nani unamtabiria kuibuka na taji kati ya walimbwende hawa?

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages