Breaking News

Your Ad Spot

Sep 6, 2010

WATANGAZAJI WA UHURU FM WAKIPIGA MZIGO KWENYE KAMPENI ZA CCM

MTANGAZAJI mwandamizi wa Uhuru FM, Angel Akilimali akirusha 'live' hotuba ya mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete, katika mkutano ulkiofganyika Mbagala, Zakhem, Temeke, Dar es Salaam, hivi karibuni

Mwandishi wa UHURU FM naye pia akiwa nukuu dondoo mbalimbali kwenye mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages