Breaking News

Your Ad Spot

Oct 1, 2010

LIVINGSTONE NA MKEWE WAMEREMETA

LIVINGSTONE  Tety wa Kiraracha mkoani Kilimanjaro  na mkewe,  Happy Ndomba wa Lusonga, Songea, wakiwa wenye nyuso za furaha baada ya kufunga pingu za maisha  katika Kanisa Katoliki, Manzese mjini Dar es Salaam, hivi karibuni. Baadaye ilifuatia sherehe  kamambe ya kupongeza ndoa hiyo, katika ukumbi wa hotel ya Tamal, Mwenge. Bwana ni mfanayabiashara marufu wa Kariakoo na mkewe ni Mjasiriamali. Chachandu Daily inawapongeza na kuwatakia maisha marefu yenye baraka tele,  katika ndoa yao

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages