Breaking News

Your Ad Spot

Oct 13, 2010

WAANGALIZI WA UCHAGUZI MKUU KUTOKA EU, WATINGA MAKAO MAKUU YA CCM

MWENYEKITI wa kampeni za CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akimkaribisha ofisini mwake, Naibu Mwangali Mkuu wa Uchaguzi kutoka Jumuia ya Madola, Tonny Reis katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, leo. wapili kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Waangalizi hao, Stephane Mondon.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages