Breaking News

Your Ad Spot

Oct 16, 2010

YANGA NA SIMBA HAPATOSHI LEO CCM KIRUMBA

Yanga ana Simba zinajityupa leo katika Uwanja wa CCM Kirumba kutafuta nani mbabe, ikiwa timu hizo hazijakutana kwa miaka mingi katika Uwanja huo wa jiji la Mwanza.
   Wakati kila shabiki wa timu huzika anajinadi kifua mbele kwamba timu yake ndiyo itaibuka mbambe, lakini fikra zinazozonga vichwa vya mashabiki wengi wa soka ni je ni nani hasa atacheka na mwingine kununa baada ya kipute hicho? Hana shaka kipyenga cha mwisho ndicho kitatoa jibu.
 Chachandu Daily Blog inautakia kila la kheri mtanange huo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages