Breaking News

Your Ad Spot

Nov 10, 2010

CHENGE NA SITTA USO KWA USO DODOMA

Spika aliyemaliza muda wake, Samuel Sitta akisalimiana na Mbunge Mteule wa Bariadi Magharibi Andrew Chenge , kabla ya kuanza  kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo, ambapo wote ni wajumbe wa kikao hicho.

Mwenyekiti wa CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao kikao hicho cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma leo mchana.Kutoka kushoto ni wajumbe wa kamati hiyo Rais Mstaafu awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu SMZ Amani Abeid Karume, Katibu Mkuu CCM Yusuf Makamba, Makamu wa CCM Bara, Pius Msekwa na Rais wa Zanzibar Dr.Ali Mohamed Shein.(Picha ana Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages