Breaking News

Your Ad Spot

Nov 16, 2010

JK ATOA ZAWADI YA IDDI EL HAJJ KWA WATOTO NA WAZEE

RAIS Jakaya Kikwete ametoa zawadi za Iddi El Hajj kwa vituo kadhaa vya watoto yatima na wazee wasiojiweza ili wajumuke na Watanzania wengine kusherehekea sikukuu hiyo kwa furaha.Zawadi hizo ni pamoja na mbuzi,mafuta ya kupikia na mchele.Pichan i Msaidizi wa Rais, Kassim Mtawa, akimkabidhi zawadi ya mbuzi mkuu wa kituo cha kulelea wazee cha Msimbazi,Sista Yusta Mhumbila, Ikulu mjini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages