Breaking News

Your Ad Spot

Nov 6, 2010

JK KIDEDEA URAIS

*NEC YAMTANGAZA RASMI
*LIPUMBA AMPONGEZA
*SLAA AINGIA MITINI
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Lewis Makame akimkabidhi cheti cha ushindi, Rais mteule, Jakaya Kikwete baada ya kumtangaza kuwa mshindi wa uchaguzu mkuu uliofanyika Oktoba 31, mwaka huu, katika sherehe iliyofanyika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.
Kikwete akionyesha cheti hicho cha ushindi
Aliyekuwa mgombea urais ka tiketi ya CUF, Profesa Ibrahim Lipumba akimpongeza Rais Kikwete
Rais mstafu Benjamin Mkapa akimpongea rais mteul, Kikwete
Wapigapicha wa vyombo mbalimbali vya habari, wakiwa kwenye tukio hilo la kutanagazwa mshindi wa urais, katika viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.
 Wafuasi wa CCM wakishangilia baada ya Kikwete kutangazwa na NEC kuwa mshindi (Picha zote na Freddy Maro-Ikulu)

1 comment:

  1. Sasa ni muda wa kusahau yaliyopita, tuanza kupambana na maisha mapya, na tujue kuna wale wanaotaka kurudisha gharama zao za kutafuta kula, na wameipata, kuna wale waiokosa, wote sasa ni muda wa nini cha kufanya!
    Miaka mitano ijayo sio mingi!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages