Breaking News

Your Ad Spot

Nov 4, 2010

PAPIC KUONDOKA JUMLA YANGA J3?

Kocha Mkuu wa wa Yanga Papic (pichani)  huenda akaondoka nchini Jumatatu wiki ijayo na kwenda nyumbani kwao Serbia , baada ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara kumalizika keshokutwa.

      Habari kutoka katika klabu ya Yanya  zinasema kocha huyo huenda asirudi tena nchini baada ya viongozi wa Yanya kushindwa kusaini mkataba na kocha huyo.
     Timu ya Yanga ambayo ilianza vizuri ligi kuu Tanzania Bara imeanza kufanya vibaya baada ya kutosa sare mechi tatu na kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages