Breaking News

Your Ad Spot

Nov 12, 2010

SITTA AAPISHWA NA ANNA MAKINDA KUWA MBUNGE

Spika wa zamani wa Bunge, Samwel Sitta akiapa kuwa mbunge wa Urambo Mashariki mjini Dodoma leo. Sitta aliapa mbele ya Spika wa sasa Anna Makinda ambaye  alikuwa naibu wake.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages