Breaking News

Your Ad Spot

Nov 4, 2010

TWIGA STARS YALALA 3-2 KWA MALI

Timu ya Taifa ya Wanawake  Tanzania, Twiga Stars imebwagwa na timu ya Taifa ya Wanawake ya Mali, baada ya kufungwa mabao 3-2.


Mchezo huo umefanyika leo nchini Afrika Kusini katika mashindano ya Kombe la Mataifa huru ya Afrika kwa Wanawake.
 
Katika mechi yake ya kwanza  Twiga Stars ilipambana na Banyana Banyana ya Afrika Kusini ikafungwa magoli 2-1.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages