Breaking News

Your Ad Spot

Dec 15, 2010

BSS WATEMBLEA KAMPUNI YA BIA TANZANIA (TBL) LEO

Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Kavishe akiwakaribisha washiriki wa Bongo Star Search (BSS) walioingia  kumi/bora na wale wa tano bora ambao watachuana Ijumaa wiki hii kupata mshindi, walipotembelea kiwwanda cha kampuni ya bia Tanzania (TBL), leo. Wanne kulia ni Mpishi Mkuu wa  wa Kilimanjaro, Kelvin Nkya. 
Washiriki hao wakiwa na Kavishe na Kelvin kwenye ukumbi wa TBl kabla ya kuanza kutembelea maeneo mbalimbali ya kiwanda hicho leo 
Washiriki wa BSS walioingia tano bora wakiwa katika picha ya apamoja na Kavishe na Kelvin 
Safari ikaaanza kutembelea kiwanda 
Mpishi Mkuu akiwapa maelekezo kuhusu palivyo ndani  ya kiwa nda  hicho 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages