.

FAINALI ZA BSS; MAMBO YAANZA KUIVA USIKU HUU

Dec 17, 2010

Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production, Rita Polsen akichat jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo Dk. Emmanul Nchimbi, baada ya kumkaribisha alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam, kushuhudia fainali za michuano ya Bongo Star Search 2010, usiku huu 
Kadhali Meneja wa Bia ya Kilimanjaro  George Kavishe (kulia) akichati jambo na waziri nchimbi baada ya waziri huyo kuwasili ukumbini. Kushoto ni Madam Rita. Chachandu Daily Blog ipo katika ukumbi wa Mlimani City kukuhabarisha mpenzi mtembeleaji kila kitachokuwa kinajiri.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช