BAADHI wa washiriki wakiwa katika semina ya Mpango wa Uhamasishaji wa Uwazi na Uwajibikaji katika Tasnia ya Uziduaji Nchini (TEITI), iliyofanyika leo katika ukumbi wa City Paradise Hotel, mjini Dar es Salaam.
0
Comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269
Meneja Programu Mfuko wa vyombo vya habari Tanzania (TMF) Ernest Sungura (L), akimkabidhi tuzo ya mpigapicha bora Tanzania 2011, Bashir Nkoromo, baada ya kushinda tuzo hiyo katika sherehe ya kutangaza washindi wa Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari (EJAT), Mlimani City, Dar es Salaam.
0 Comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269