Breaking News

Your Ad Spot

Jan 23, 2011

SIMBA YALA MWELEKA KWA AZAM FC

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Jamal Mnyate, akimtoka beki wa Simba, Meshack Abel, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja, Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, katika mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom. Simba imelala kwa mabao 3-1.

1 comment:

  1. Mpira ni dakika tisini uwanjani au sio, mengine maneno ya nje hayasaidiii

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages