Breaking News

Your Ad Spot

Feb 15, 2011

JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA HUDUMA NA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI MNAZI MMOJA

MGANGA Mkuu, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Deo Mtasiwa na Mkuu wa Kitivo cha Utafiti na Tiba, Chuo Kikuu cha Havard, Marekani, Julio Frenk (kulia), wakirudi kujwaani, baada ya kuzindua jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Huduma na vita dhidi ya Ukimwi, Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.leo


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages