Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib, akilihutubia Taifa kwenye Sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW) yaliyofanyika kitaifa katika Msikiti wa Manyema jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal kulia, akizungumza na Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati wa sherehe ya Maulid ya kuzaliwa Mtume Mohammad (SAW) yaliyofanyika usiku wa kuamkia jana katika Msikiti wa Manyema jijni Dar es salaam, kushoto Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Issa Shaaban Simba (Picha na Amour Nassor VPO).
Kwanini huyo Muft kakaa kwene keti?ndio kuonesha kwa hapo yeye ndio mkubwa au nini?
ReplyDeleteSiyo kuonesha kuwa ni mkubwa hapo, lakini ninavyoelewa mimi ni kwamba ana matatizo ya miguu, ndiyo sababu hawezi kukaa kitako kama inavyotakiwa.
ReplyDelete