MKUU wa mkoa wa Arusha Isidori Shirima akifunga mkutano wa kwanza wa wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF0, jana katika ukumbi wa Simba, kwenye Kiutuo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa NSSF, Abubakar Rajab na wapili ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Dk. Ramadhani Dau.
Wadau wakimalizia mada za mwisho, kabla ya kumalizika mkutano huo leo mchana, hapa ni ndani ya ukumbi wa Simba, kwemnye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha mjini Arusha (AICC).
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Shirima akiondoka baada ya kufunga mkutano huo
Baadhi ya waandishi wa habari mahiri wa mjini Arusha waliokuwa wakifuatilia shughuli za mkutano huo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269