Breaking News

Your Ad Spot

May 6, 2011

WAKALI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA WA UGANDA KUKAMUA DAR NA WASHINDI WA TUZO LA KILI MUSIC AWARDS, DAR KESHO

Meneja Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Edith Mushi akiwatambulisha wasanii wa Uganda Nayanja Douglas (kushoto) na Radio Sekibogo, leo kwenye ukumbi wa Maisha Club, Dar es Salaam. Wasanii hao watakamua na wasanii wa bongo wa muziki wa Bongo Flava walioshinda tuzo za Tanzania Kili Music Awards, kesho kwenye Viwanja vya Posta, Kijitonyama, Dar.
Wasanii hao wa Uganda na Edith wakiwa na wasanii wa Bongo waliopata tuzo za Tanzania Kili Music Awards wakati wa utambulisho huo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages