Breaking News

Your Ad Spot

May 8, 2011

WATEJA WA VODACOM KUPATA HUDUMA ZA LUNINGA ZA DSTV KATIKA SIMU ZAO

Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akizindua huduma ya Vodacom Dstv Mobile, jana katika hoteli ya Double Tree. Kushoto ni Meneja Mkuu Dstv Afrika Mashariki, Felix Kyengo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania Peter Corrie. Huduma hiyo itawezesha wateja wa kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom wenye simu za teknolojia ya 3G na video player, kuona chanel 5 za tv kupitia Dstv.
MKUU wa Kitengo cha Interneti katika wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Vodacom, Candise Rato (Wapili Kushoto), akimuonyesha  Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Saidi Mecky Sadick (wa tatu kushoto) jinsi ya kupata huduma za Tv kupitia Dstv katika simu zenye mdandao wa Vodacom. Kulia ni  Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Vodacom, Peter Correia na kushoto ni  Mkuu wa Biashara na Masoko wa Dstv,  Martin Mabutho.
Wanamuziki  Enika na Saganda wakitumbuiza wakati wa uzinduzi huo.





No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages