Breaking News

Your Ad Spot

Jun 18, 2011

VODACOM MISS TEMEKE APATIKANA

Mrembo Ummy Mohamed aliyeshiriki katika shindano laVodacom Miss Chang’ombe akipita jukwani na vazi la jioni, shindano hilo lilifanyika hapo jana katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares salaam.
Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto,Mdau wa mambo ya urembo Rachel Sindbird,Rahma Kaude na Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude wakifatilia shindano la Vodacom Miss Chang’ombe hapo jana ambapo Cynthia Kimasha alinyakua taji hilo,shindano hilo lilifanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages