Breaking News

Your Ad Spot

Jul 14, 2011

MKUTANO WA WAHARIRI WAFUNGULIWA KIBO PALACE HOTEL, ARUSHA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Mark Bomani akifungua mkutano wa Wahariri leo katika ukumbi wa Kibo Palace Hotel mjini Arusha. Wengine upande wa Bomani, kutoka kushoto ni Katibu wa Jukwaa la Wahariri Neville Meena, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa SBL, Teddy mapunda na Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Absalom Kibanda. Kulia ni Wahariri hao ambao zaidi ya 80 walihudhuria. 
Wahariri wakiwa kwenye ufunguzi wa mkutano huo 
Kibanda akimshukuru Bomani  (wapili kushoto) baada ya ufunguzi wa mkutano huo.   wengine ni Teddy na Meena
Washiriki wa mkutano huo  
Wahariri wakishangilia baada ya mkutano kufunguliwa 
wahariri wakifuatilia ufunguzi huo 
Hawa pia ni wahariri walioshiriki  
Na hawa pia, bila shaka unaweza kuona sura za Kizanzibar, hawa ni kutoka sehemu hiyo ya Tanzania 
Wengine ni hawa wakiongozwa na Dinna Chahali (kushoto) 
Wahariri wakiwasili kwenye hoteli ya Kibo 
Baadhi wakasalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya SBL 
Kama ambavyo mhariri huyu kutoka Raia Mwema  Chief John Bwirealivyofanya 
Wahariri kutoka zanzibar wakitafakari mambo wakati fulani msafara uliposimama njiani 
Habari zako yakhe: Mhariri wa Habari Leo Joseph Kulangwa akamuuliza hali Mhariri wa Mwanahalisi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages