Breaking News

Your Ad Spot

Aug 3, 2011

NAPE ATEMBELEA JAMBO LEO, MAJIRA

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concept, Juma Pinto (kushoto) akimkabidhi nakala ya hivi karibuni ya jarida la Jambo Tanzania, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipotembelea ofisi za kampuni hiyo mjini Dar es Salaam, leo. Jambo Concept ndiyo wachapishaji wa gazeti la Jambo Leo. Wapili kulia ni Mhariri Mkuu wa Jambo Leo, Godfrey Lutego.
Pinto akizungumza na Nape ofisini kwake. Kushoto ni Ofisa Mtendaji wa Gazeti hilo, Benny Kisaka
Nape akimfafanulia jambo Juma Pinto
Nape akiagana na Benny Kisaka
Mkurugenzi Mtendaji  wa Business Times, Aga Mbughuni akizungumza na Nape
Nape akionyeshwa maktaba ya Business Times wachapishaji wa magazeti ya majira , Dar Leo na Bussines Times inavyotunza kumbukumbu 
Wafanyakazi wa Majira wakiwa Newsroom

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages