Breaking News

Your Ad Spot

Aug 10, 2011

SHEIKH AHMED WA SOMALIA AONDOKA LEO

Rais Jakaya Kikwete akiagana na mgeni wake Mheshimiwa Sheikh Sharif  Sheikh Ahmed,Rais wa Jamhuri ya Somalia kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere , baada ya kiongozi huyo kumaliza ziara  ya siku mbili hapa nchini tarehe 10.8.2011.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages