Breaking News

Your Ad Spot

Aug 12, 2011

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NAMIBIA


 
 
Katibu Mkuu Mh. Mukama akiweka shada la maua katika Makaburi ya Mashujaa wa Ukombozi wa Namibia tar. 9/08/2011
 

Katibu Mkuu wa CCM Mh. Mukama/ Katibu Mkuu wa SWAPO wakiwa na Sam Nojoma ofisini kwa NOJOMA


Makatibu Wakuu wa Vyama Rafiki vya Ukombozi kusini mwa Afrika, Kutoka Kushoto Comrade; Juliao Mateus Paulo wa MPLA - Angola,  Didymus Mutasa wa ZANU - PF - Zimbabwe, Bi. Pendukeni Livula -ithana wa SWAPO - Namibia, Wilson Mukama wa CCM - Tanzania, Gwade Mantashe wa ANC ya Afrika ya Kusini na Filipe Paunde wa FRELIMO - Msumbiji. ilikuwa mara baada ya kumaliza mkutano wao wa siku moja Windhoek Namibia tar. 9/8/2011. (PICHA KWA HISANI YA OFISI YA KATIBU MKUU WA CCM)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages