Breaking News

Your Ad Spot

Sep 23, 2011

SAKATA LA DC IGUNGA: SASA BAKWATA WATAKA CHADEMA WANYIMWE KURA

3 comments:

  1. Hata wewe mwandishi ni mdini tu, acheni mambo haya...ingawa mimi nipo nje ya nchi, lakini nashangaa sana kuona siku hizi siasa zinaamia kwenye udini.

    Imefika wakati CCM tukubali kuwa tupo kwenye mapambano, zile ahadi za zamani zimepitwa na wakati sasa ni wakati wa kuwaambia wanananchi ukweli na kutimiza ahadi kuliko kuingia kwenye udini...siyo nzuri hii hata kidogo.

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo ilibidi nisiichapishe hii taarifa ili wewe na wengine msiione ndiyo unisifu kuwa si mdini? au? hebu fafanua kidogo mdau.

    Hilo la siasa kuhamishiwa kwenye dini sina jibu, majibu wanayo vyama vya siasa vyenyewe na wadau wao kama wwewe.

    ReplyDelete
  3. Angevuliwa sister wa kanisa kilemba chake mgesema nini hapo? Nakuuliza mdau wa kwanza kuchangia hapo juu?

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages