Breaking News

Your Ad Spot

Oct 12, 2011

MSIBA WA MTANZANIA LONDON

                                           
Connecting Tanzanians in London
                                                        
MSIBA WA MTANZANIA MWENZETU MZEE SAID MUHAMMAD SIKAMKONO

 Tunaskitika kuwataarifu kuhusu kifo cha Mtanzania mwenzetu Mzee Said Muhammad Sikamkono kilichotokea jana tarehe 11/10/2011 mchana katika hospitali ya Queen Elizabeth, Woolwich, London.
Mipango ya mazishi inaendelea na mtaendelea kujulishwa. Kwa wakati huu ambao tutakuwa tunasubiri kupata taarifa ya mazishi, mwenye kuweza kuchangia chochote au mwenye kuhitaji kujua zaidi kuhusu msiba huu, tunaomba awasiliane na
Sheikh Ayub kwa namba; 07944930708
AU
 Said Surur kwa namba; 07538063536
AU
Mr. Haruna Mbeyu kwa namba; 07813539025.
“MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU SAID MUHAMMAD SIKAMKONO MAHALI PEMA.  MUNGU AMETOA NA MUNGU AMETWAA, JINA LAKE LIBARIKIWE”

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages