Breaking News

Your Ad Spot

Nov 9, 2011

KATIBU MKUU WA CCM AKUTANA NA BALOZI WA UJERUMANI HAPA NCHINI

 Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Klaus-Peter Brandes, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam.
 Mukama akisisitiza jambo wakati akipiga stori na Balozi huyo
Balozi wa Ujerumani hapa nchini, Klaus-Peter Brandes akimsikiliza kwa makini Katibu mkuu wa CCM Wilson Mukama
 "Si haba tumekuza demokrasia hapa nchini" Mukama akimwabia Balozi huyo katika mazungumzo yao
"CCM MAMBO POA,  KARIBU TENA!" Mukama akimwambia Balozi huyo wakati wakiagana baada ya mazungumzo yao leo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages