Breaking News

Your Ad Spot

Nov 16, 2011

MICHEZO YA WATOTO WA KISASA

Maya Bashir Nkoromo mwenye umri wa miaka sita akijifunza kutumia kompyuta, nyumbani kwao Mbezi Beach, Dar es Salaam, leo. Maya alizaliwa Juni 26, 2005.Ili kuwafanya watoto wakue katika mazingira ya sasa ya Sayansi na Teknolojia ni muhimu sana watoto kuchezea kompyuta badala ya makopo kama ilivyokuwa miaka ya zamani.

1 comment:

  1. acha mbwembwe kaka kama hakuna kompyuta atachezea nini

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages