Breaking News

Your Ad Spot

Dec 15, 2011

BODI YA VYOMBO VYA HABARI VYA CCM YAKUTANA LEO

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Vyombi vya Habari vya CCM, kabla ya uzinduzi wa kikao cha bodi hiyo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.
 Nape na Kinana (Katikati) wakiwa kwenye kikao hicho cha kwanza cha bodi hiyo
 Baadhi ya wajumbe wa bodi hiyo na maofisa wa vyombo hivyo wakiwa kwenye kikao hicho
 Maofisa wa vyombo vya habari vya CCM wakiwa kwenye kikao hicho cha bodi
 Maneneja Rasilimali Watu na Fedha wa baadhi ya vyombo hivyo vya CCM wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi. Kushoto ni Lucas Kisasa wa Uhuru Publications Ltd, wachapishaji wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo
Maofisa wakuu na mmoja wa wajumbe wa bodi hiyo wakiwa kwenye kikao hicho

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages