Breaking News

Your Ad Spot

Jan 12, 2012

KIKAO CHA KAMATI KUU CCM CHAKUTANA LEO ZANZIBAR

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa tayari kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM, katika Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, Zanzibar. Aliyesimama ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha kufungua kikao hicho.
 Kikwete na viongizi wote wakisimama kumkumbuka aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Balozi Athumani Mhina kabla ya kuanza kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo mjini Zanzibar. Mhina alikuwa pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM.
 Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu Benjamin Mkapa, Makamu \Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais wa Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakiwa kwenye kikao hicho.
 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akiwa na Makatibu wenzake wa NEC, kwenye kikao cha kamati kuu leo mjini Zanzibar. Kushoto ni Mjumbe wa NEC Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba na kulia ni Mjumbe wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Januari |Makamba

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages