Breaking News

Your Ad Spot

Jan 12, 2012

MTAYARISHAJI MKUU WA NKOROMO DAILY AKIWA NA WADAU MUDA MFUPI KABLA YA KUONDOKA BANDARI YA DSM KWENDA ZENJ

Mtayarihaji Mkuu wa Nkoromo Daily BLOG (NDB) Bashir Nkoromo (kushoto) akiwa na wadau wa blogu hii, alipokuwa katika bandari ya Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya safari yao ya zanzibar leo. Kwa uweza wa Mungu wamefika salama Zenj.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages