Breaking News

Your Ad Spot

Feb 19, 2012

NAPE AWAPA TENA DOZI MAFISADI

Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipongezwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, baada ya kutoa mahubiri yake katika kipindi cha ‘Hekima za Viongozi’ alipohudhuria ibada ya Kanisa hilo  leo kwenye Viwanja vya kilichokuwa kiwanda cha kusindika nyama cha  Tanganyika Packers, Kawe mjini Dar es Salaam. Nape alihudhuria ibada hiyo kutokana na mwaliko wa kanisa hilo.(Na Mpigapicha Wetu.. HABARI ZAIDI BAADAYE 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages