Breaking News

Your Ad Spot

Mar 3, 2012

Jk AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilikuwa na kazi ya kupitisha jina la mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha (Picha na Freddy Maro).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages